sw_tn/job/29/14.md

24 lines
845 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Nilivaa haki, nayo ikanifunika
watu wa wakati ule waliongelea haki kama vazi. KTN: "Nilitenda haki, nayo ikawa kama vazi la kujisitiri juu yangu"
# uadilifu wangu ulikuwa kama joho na kilemba
watu wa wakati ule waliongelea uadilifu kama vazi. KTN: "Nilitenda kwa adili, na ilikuwa kama joho na kilemba juu yangu"
# kilemba
vazi refu ambalo wanaume hufunga kuzunguka vichwa vyao, huvaa kama kofia.
# nilikuwa macho kwa watu vipofu
Hii inamaanisha kuwasaidia watu vipofu. KTN: "nilikuwa kama macho kwa ajili ya watu vipofu" au "niliwaongoza watu vipofu"
# nilikuwa miguu kwa watu viwete
"nilikuwa kama miguu kwa watu viwete" au "niliwasaidia watu viwete"
# nilikuwa baba kwa watu wahitaji
hapa neno baba linawakilisha kutoa kwa ajili ya watu. KTN: "Nilitoa kwa ajili ya watu wahitaji kama baba anavyotoa kwa ajili ya watoto wake"