sw_tn/job/28/23.md

12 lines
397 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Mungu inaifahamu njia yake; anapajua mahali pake
"Mungu anajua jinsi ya kuipata hekima. Anajua mahali ilipo"
# miisho ya nchi
"sehemu za mbali za dunia"
# aliyagawa maji kwa vipimo
Mungu hufanya maamuzi ni maji kiasi gani yanapaswa kuwepo kwa kila sehemu. KTN: "aliamua ni maji kiasi gani yanapaswa kuwepo kwa kila sehemu" au "ameweka kiwango cha maji ambacho alikipanga kwa kila sehemu"