# Mungu inaifahamu njia yake; anapajua mahali pake "Mungu anajua jinsi ya kuipata hekima. Anajua mahali ilipo" # miisho ya nchi "sehemu za mbali za dunia" # aliyagawa maji kwa vipimo Mungu hufanya maamuzi ni maji kiasi gani yanapaswa kuwepo kwa kila sehemu. KTN: "aliamua ni maji kiasi gani yanapaswa kuwepo kwa kila sehemu" au "ameweka kiwango cha maji ambacho alikipanga kwa kila sehemu"