sw_tn/job/28/18.md

20 lines
720 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Fedhalika au marijani havistahili kutajwa
"haifai kutaja marijani au fedhaluka" hii inamaan kuwa hekima inastahili zaidi kuliko marijani na fedhaluka wala Ayubu hahitaji kusema chochote juu ya hivi.KTN: "Sitajisumbua kutaja marijani au fedhaluka" au marijani na fedhaluka havina thamani vikilinganishwa na hekima"
# marijani
Ni kitu kizuri na kigumu ambacho hustawi chini ya bahari.
# fedhaluka...rubi...topazi
Haya ni mawe yenye thamani sana
# topazi ya Ethiopia haiwezi kulingana nayo
Hii inamaanisha kwamba hekima inathamani zaidi kuliko topazi.
# wala haiwezi thaminishwa kwa vigezo vya dhahabu safi
"na hekima haiwezi kuthaminishwa kwa vigezo vya dhahabu safi" hekima inathamani zaidi ya dhahabu safi.