sw_tn/job/28/03.md

24 lines
639 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Binadamu hukomesha giza
huweka nuru mahali penye giza. Watu waliweza kutumia miale, ama taa au tochi.KTN:" Bibadamu hubeba mwanga kwenye sehemu za giza"
# kwenye mpaka wa mbali zaidi
"kwenye sehemu za mbali zaidi kwenye machimbo"
# uvunguvungu ...giza nene
haya mafumbo mawili yametumika kuonyesha kuwa giza ni kuu sana
# shimo
tundu jembambale lenye kina linalochimbwa ardhini au kwenye mwamba. Watu hushuka chini ya tundu ili kuchimba.
# sehemu ambazo zimesahauliwa na mguu wa mtu yeyote
KTN: " ambapo hakuna mtu amewahi kupakanyaga"
# Huning'inia mbali na watu
KTN:" Mbali na watu huning'inia kwenye kamba ndani ya shimo"