# Binadamu hukomesha giza huweka nuru mahali penye giza. Watu waliweza kutumia miale, ama taa au tochi.KTN:" Bibadamu hubeba mwanga kwenye sehemu za giza" # kwenye mpaka wa mbali zaidi "kwenye sehemu za mbali zaidi kwenye machimbo" # uvunguvungu ...giza nene haya mafumbo mawili yametumika kuonyesha kuwa giza ni kuu sana # shimo tundu jembambale lenye kina linalochimbwa ardhini au kwenye mwamba. Watu hushuka chini ya tundu ili kuchimba. # sehemu ambazo zimesahauliwa na mguu wa mtu yeyote KTN: " ambapo hakuna mtu amewahi kupakanyaga" # Huning'inia mbali na watu KTN:" Mbali na watu huning'inia kwenye kamba ndani ya shimo"