sw_tn/job/27/15.md

20 lines
624 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# wale ambao husalia
Hii inahusu watoto wa mtu mwovu ambao huendelea baada ya baba zao kufariki. KTN: "Wale ambao huendelea kuishi baada ya baba zao waovu kufariki"
# watazikwa kwa tauni
"watakufa kwa tauni"
# wajane wao... yao
maneno "wao... yao" yanahusu wale watakaosalia, ambao ni watoto wa mtu mwovu
# hurundika fedha kama mavumbi
"hurundika "maana yake hukusanya sana. Ayubu anasema kuwa ilikuwa rahisi kwa mtu huyu kujipatia fedha kama vile mavumbi.
# hurundika mavazi kama udongo
"hurundika "maana yake hukusanya sana. Ayubu anasema kuwa ilikuwa rahisi kwa mtu huyu kujipatia mavazi kama vile kuzoa udongo.