sw_tn/job/27/13.md

12 lines
426 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Hii ndiyo hatima ya mtu mwovu kwa Mungu
Hatima ya mtu mwovu kwa Mungu inahusiana na mpango wa Mungu kwa mtu huyo. KTN: " huu ndio mpango wa Mungu kwa mtu mwovu"
# urithi wa mnyonyaji ambao hupokea kutoka kwa Mwenyezi
"urithi wa mnyonyaji" ni stiari kuonyesha kitu gani kitatokea kwa mnyonyaji. Mambo atakayopokea toka kwa Mungu yanaongelewa kama ndiyo urithi wake.
# ni kwa ajili ya upanga
"watakufa katika mapigano"