# Hii ndiyo hatima ya mtu mwovu kwa Mungu Hatima ya mtu mwovu kwa Mungu inahusiana na mpango wa Mungu kwa mtu huyo. KTN: " huu ndio mpango wa Mungu kwa mtu mwovu" # urithi wa mnyonyaji ambao hupokea kutoka kwa Mwenyezi "urithi wa mnyonyaji" ni stiari kuonyesha kitu gani kitatokea kwa mnyonyaji. Mambo atakayopokea toka kwa Mungu yanaongelewa kama ndiyo urithi wake. # ni kwa ajili ya upanga "watakufa katika mapigano"