sw_tn/job/27/11.md

16 lines
529 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# nitawafundisha
"nitawa.." ni neno katika wingi kumaanisha marafiki watatu wa Ayubu.
# mkono wa Mungu
Mkono wa Mungu unawakilisha nguvu zake. KTN: "Nguvu za Mungu"
# Sitayaficha mawazo ya Mwenyezi
"mawazo" ni jina dhahani ambapo laweza dhahiri pamoja na kitenzi "fikiri".KTN: "Sitawaficha yale ambayo Mwenyezi hufikiri"
# basi mbona mmeongoa upuuzi huu wote?
Ayubu anatumia swali hili kuwakemea arafiki zke kwa kuongea vitu vya kipumbavu. KTN: "walakini mmeongea upuu huu wote" au " Haikuwapasa kuongea kwa upumbavu"