# nitawafundisha "nitawa.." ni neno katika wingi kumaanisha marafiki watatu wa Ayubu. # mkono wa Mungu Mkono wa Mungu unawakilisha nguvu zake. KTN: "Nguvu za Mungu" # Sitayaficha mawazo ya Mwenyezi "mawazo" ni jina dhahani ambapo laweza dhahiri pamoja na kitenzi "fikiri".KTN: "Sitawaficha yale ambayo Mwenyezi hufikiri" # basi mbona mmeongoa upuuzi huu wote? Ayubu anatumia swali hili kuwakemea arafiki zke kwa kuongea vitu vya kipumbavu. KTN: "walakini mmeongea upuu huu wote" au " Haikuwapasa kuongea kwa upumbavu"