sw_tn/job/26/01.md

20 lines
896 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# jinsi gani ulimsaidia yule ...mkono ambao hauna nguvu!
Ayubu anamshutumu Bildadi. Neno "yule" linamrejea yeye mwenyewe (Ayubu). KTN: "Mimi sina uwezo wal nguvu, lakini unajifanya kama umenisaidia- ukweli ni kwamba hujanisaidia kabisa!"
# mkono ambao hauna nguvu
Ayubu anajielezea mwenyewe kuwa..."mimi, ni kama mkono ambao hauna nguvu au "yule ambaye ni dhaifu kabisa"
# Jinsi gani umemshauri yule asiyekuwa na hekima na kumtangazia maarifa ya kweli!
Ayubu anasema kwamba Bildadi hajatoa ushauri mzuri wala maarifa kwake. KTN: " Umetenda kana kwamba hauna maarifa kwa njisi ulivyonishauri"
# kumtangazia maarifa ya kweli
"kumpa ushauri mzuri"
# Kwa msaada wa nani umeongea maneno haya? je ilikuwa roho ya nani... yako?
katika maswali haya Ayubu anaendelea kumdhihaki Bildadi. KTN: "lazima ulipata msaada kuongea maneno haya. Yamkini roho fulani ilikusaidia kuyaongea maneno haya"