sw_tn/job/25/01.md

20 lines
800 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Bildadi Mshuhi
hili ni jina la mtu kama ilivyo katika 2:11
# Milki na hofu vipo pamoja naye
"naye" inarejea kwa Mungu. majina ya dhahania "milki" na "hofu" yanaweza kutajwa kama vitenzi. KTN: "Mungu ni mtawala wa yote, na watu wanapaswa kumhofu yeye peke yake"
# katika sehemu zake za juu mbinguni
"katika mbingu" au "kwenye mbingu juu"
# Je kuna ukomo wa idadi ya majeshi yake?
Bildadi anatumia swali hili kueleza jinsi Mungu alivyo mkuu. KTN: "Hakuna ukomo wa idadi ya malaika katika jeshi lake" au Adui zake ni wakubwa sana kwamba hakuna awezaye kuwahesabu"
# je ni juu ya nani mwanga wake haumuliki?
Bildadi anatumia swali hili kueleza kwamba Mungu hutoa mwanga kwa kila mtu. KTN: "Wala hapana mtu ambaye mwanga wake haumuliki" au "Mungu hufanya mwanga wake kung'aa juu ya kila mmoja"