sw_tn/job/24/18.md

20 lines
526 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Sentensi Unganishi
Ayubu anaendelea kuongea
# kama povu juu ya uso wa maji
povu hudumu kwa muda mchache. Hii inasisitiza kuwa Mungu atasababisha waovu wapotee upesi.
# sehemu ya ardhi yao imelaaniwa
KTN: "Mungu hulaani sehemu ya ardhi ambayo wanamiliki"
# Kama ukame na joto huyeyusha...wale ambao wamefanya dhambi
Ayubu anasema kwamba wenye dhambi watapotelea kuzimu kwa njia ile ile kama vile theluji inavyoyeyuka na kupotea inapokuwa joto.
# ukame na joto
haya maneno mawili yanaelezea hali ya hewa inayofanana.