sw_tn/job/24/02.md

40 lines
719 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Sentensi Unganishi
Ayubu anaendelea kuongea
# alama za mipaka
haya ni mawe au vitu vingine kunyesha mpaka kati ya maeneo yanayomilikiwa na watu mbalimbali.
# malisho
"konde la majani" au "viwanja vya kuchungia"
# hutwaa
"wanaiba"
# ambao hawana baba
"yatima" au "watoto ambao wazazi wao wamefariki"
# huchua ng'ombe wa mjane kama rehani
"huchukua ng'ombe wa mjane ili kuwa hakikisho kwamba wajane watalipa pesa walizowakopesha
# mjane
mwanamke ambaye amefiwa na mume wake.
# dhamana
mwazimishaji alichukua kitu chochote kutoka mwazimaji ili kuhakikisha kuwa mwazimaji huyo atalipa.
# nje ya njia yao
toka kwenye njia
# watu masikini nchi waote hujificha
watu wengi masikini huwaogopa watu waovu.