# Sentensi Unganishi Ayubu anaendelea kuongea # alama za mipaka haya ni mawe au vitu vingine kunyesha mpaka kati ya maeneo yanayomilikiwa na watu mbalimbali. # malisho "konde la majani" au "viwanja vya kuchungia" # hutwaa "wanaiba" # ambao hawana baba "yatima" au "watoto ambao wazazi wao wamefariki" # huchua ng'ombe wa mjane kama rehani "huchukua ng'ombe wa mjane ili kuwa hakikisho kwamba wajane watalipa pesa walizowakopesha # mjane mwanamke ambaye amefiwa na mume wake. # dhamana mwazimishaji alichukua kitu chochote kutoka mwazimaji ili kuhakikisha kuwa mwazimaji huyo atalipa. # nje ya njia yao toka kwenye njia # watu masikini nchi waote hujificha watu wengi masikini huwaogopa watu waovu.