forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
656 B
Markdown
24 lines
656 B
Markdown
|
# Sentensi Unganishi
|
||
|
|
||
|
Ayubu anaendelea kuongea
|
||
|
|
||
|
# Maelezo ya Jumla
|
||
|
|
||
|
mistari hii kila mmoja upo katika muundo sambamba ili kusisitiza wazo kuu analotoa Ayubu.
|
||
|
|
||
|
# maana Mungu ameufanya moyo wangu dhaifu; mwenyezi amenitaabisha
|
||
|
|
||
|
Hii mistari miwili inamaanisha jambo moja na inasisitiza kuwa Ayubu anamwogopa sana Mungu.
|
||
|
|
||
|
# ameufanya moyo wangu dhaifu
|
||
|
|
||
|
mtu ambaye moyo wake ni dhaifu ni yule ambaye tishika au kujaa hofu.KTN " amenifanya niogope"
|
||
|
|
||
|
# sikufikishwa mwisho kwa giza
|
||
|
|
||
|
inaweza kumaanisha 1) "giza nene mbele yangu halikufanya ninyamaze" au 2) "siyo giza lilonitupa nje" au "Mungu amenikatilia mbali, wala siyo giza"
|
||
|
|
||
|
# Uso wangu
|
||
|
|
||
|
inamaanisha "mimi"
|