# Sentensi Unganishi Ayubu anaendelea kuongea # Maelezo ya Jumla mistari hii kila mmoja upo katika muundo sambamba ili kusisitiza wazo kuu analotoa Ayubu. # maana Mungu ameufanya moyo wangu dhaifu; mwenyezi amenitaabisha Hii mistari miwili inamaanisha jambo moja na inasisitiza kuwa Ayubu anamwogopa sana Mungu. # ameufanya moyo wangu dhaifu mtu ambaye moyo wake ni dhaifu ni yule ambaye tishika au kujaa hofu.KTN " amenifanya niogope" # sikufikishwa mwisho kwa giza inaweza kumaanisha 1) "giza nene mbele yangu halikufanya ninyamaze" au 2) "siyo giza lilonitupa nje" au "Mungu amenikatilia mbali, wala siyo giza" # Uso wangu inamaanisha "mimi"