sw_tn/job/23/10.md

40 lines
991 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Sentensi Unganishi
Ayubu anaendelea kuongea
# anaijua njia ninayoiendea
KTN: "Mungu anajua ninachofanya"
# nitatoka kama dhahabu
Ayubu anaamini kuwa jaribio litamthibitisha kuwa mkamilifu kama dhahabu iliyosafishwa. KTN: "ataona kuwa nipo mkamilifu kama dhahabu ambayo uchafu wake wote umechomwa"
# Mguu wangu umeshikamana kwenye hatua zake
"mguu wangu" inarejea kwa Ayubu. KTN: '"Nimeifuata njia aliyonionyesha"
# nimeitunza njia yake
utii wa Ayubu unazungumziwa kama kutembea katika njia ambayo Mungu amemwelekeza" KTN: "Nimefanya alichoniambia"
# sikungeukia upande
"fuata kwa usahihi"
# sikurudi nyuma kutoka kwenye
KTN: "nimetii alichoamuru"
# ya midomo yake
tungo hii inarejea ujumbe ambao Mungu alisema.. KTN: "ambacho alisema"
# Nimeyatunza kwenye moyo wangu
hapa "moyo wangu"inarejea kwenye utu wa ndani wa Ayubu. KTN: "nimetunza katika utu wangu wa ndani" au "daima nafikiria juu yake"
# maneno ya kinywa chake
hii inarejea kauli ya Mungu. KTN: "alichosema"