# Sentensi Unganishi Ayubu anaendelea kuongea # anaijua njia ninayoiendea KTN: "Mungu anajua ninachofanya" # nitatoka kama dhahabu Ayubu anaamini kuwa jaribio litamthibitisha kuwa mkamilifu kama dhahabu iliyosafishwa. KTN: "ataona kuwa nipo mkamilifu kama dhahabu ambayo uchafu wake wote umechomwa" # Mguu wangu umeshikamana kwenye hatua zake "mguu wangu" inarejea kwa Ayubu. KTN: '"Nimeifuata njia aliyonionyesha" # nimeitunza njia yake utii wa Ayubu unazungumziwa kama kutembea katika njia ambayo Mungu amemwelekeza" KTN: "Nimefanya alichoniambia" # sikungeukia upande "fuata kwa usahihi" # sikurudi nyuma kutoka kwenye KTN: "nimetii alichoamuru" # ya midomo yake tungo hii inarejea ujumbe ambao Mungu alisema.. KTN: "ambacho alisema" # Nimeyatunza kwenye moyo wangu hapa "moyo wangu"inarejea kwenye utu wa ndani wa Ayubu. KTN: "nimetunza katika utu wangu wa ndani" au "daima nafikiria juu yake" # maneno ya kinywa chake hii inarejea kauli ya Mungu. KTN: "alichosema"