sw_tn/job/22/26.md

16 lines
352 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Sentensi Unganishi
Elifazi anaendelea kuongoa kwa Ayubu
# utainua uso wako kwa Mungu
Maana yake kwamba Ayubu hataona aibu tena bali atamwani Mungu. KTN: " utaweza kumkabili kwa ujasiri"
# itathibitishwa kwako
KTN: "Mungu atakufanya ufanikiwe"
# mwanga utang'aa juu ya njia zako
KTN: "itakuwa kama mwanga unaong'aa kwenye barabara mbele yako"