# Sentensi Unganishi Elifazi anaendelea kuongoa kwa Ayubu # utainua uso wako kwa Mungu Maana yake kwamba Ayubu hataona aibu tena bali atamwani Mungu. KTN: " utaweza kumkabili kwa ujasiri" # itathibitishwa kwako KTN: "Mungu atakufanya ufanikiwe" # mwanga utang'aa juu ya njia zako KTN: "itakuwa kama mwanga unaong'aa kwenye barabara mbele yako"