sw_tn/job/21/31.md

28 lines
1.1 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Sentensi Unganishi
Ayubu anaendelea kuzungumza kwa rafiki zake.
# Ni nani ataishutumu njia ya mtu mwovu kwenye uso wake?
Ayubu anatumia swali hili kupinga dhana ya kuwa waovu mara zote hupatwa na hukumu. KTN: ' Hakuna anayemshutumu mtu mwovu kwenye uso wake"
# kwenye uso wake
Hapa inamaana kuwa hakuna mtu atakaye kwenda moja kwa moja kwake na kumshutumu.
# Ni nani atamlipiza kwa yale aliyotenda?
Ayubu anatumia swali hili kupinga imani ya rafiki zake kuwa waovu mara zote hupatwa na hukumu. KTN: ' Hakuna mtu anayemlipiza mwovu kwa mambo mabaya aliyotenda"
# atazikwa
KTN: " Watu watambeba"
# Madonge ya bondeni yatakuwa matamu kwake
Maana yake ni kwamba mtu mwovu atakuwa na kifo chema na maziko mema baada ya kutimiza maisha yake. KTN: "atafurahia kufukiwa kwa uchafu wa bondeni" au " atafurahia kuzikwa katika uchafu wa bonde"
# watu wote watamfuata, kutakuwa na watu wengi mbele yake
Ayubu anaweka makazo kuwa kundi kubwa la watu watakuwepo katika harakati za mazishi yake kutoa heshima. KTN: "idadi kubwa ya watu watakwenda kwenye eneo la makaburi; baadhi wakiwa mbele na wengine nyuma"