sw_tn/job/21/27.md

12 lines
367 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Sentensi unganishi
Ayubu anaendelea kuzungumza kwa rafiki zake.
# Tazama
Ayubu anatumia neno hili kuleta usikivu kwenye maneno yanayofuata. KTN: " angalia "
# Sasa nyumba ya mfalme ipo wapi? ipo wapi hema ambapo mtu mwovu aliishi hapo mwanzo?
Maswali yote hay yana maanisha jambo moja. KTN: "Tazama, nyumba ya mtawala mwovu haipo. Hema ya mtu mwovu imetoweka"