# Sentensi unganishi Ayubu anaendelea kuzungumza kwa rafiki zake. # Tazama Ayubu anatumia neno hili kuleta usikivu kwenye maneno yanayofuata. KTN: " angalia " # Sasa nyumba ya mfalme ipo wapi? ipo wapi hema ambapo mtu mwovu aliishi hapo mwanzo? Maswali yote hay yana maanisha jambo moja. KTN: "Tazama, nyumba ya mtawala mwovu haipo. Hema ya mtu mwovu imetoweka"