sw_tn/job/21/13.md

20 lines
476 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Sentensi unganishi
Ayubu anaendelea kuzungumza kwa rafiki zake.
# siku zao
"muda wao wa kuishi"
# Hushuka taratibu kwenda kuzimu
KT: "hufa kwa amani"
# njia zako
inamaanisha jinsi Mungu anavotaka watu waenende.
# Mwenyezi ni kitu gani, hata itupase kumwabudu? Ni faida gani tungepata kama tungemwomba?
watu waovu hutumia maswali haya katika kumdhihaki Mungu. KT: Hatuamini kwamba huyu Mungu Mwenyezi anastahili tumwabudu. Hawezi kufanya chochote kwa ajili yetu"