# Sentensi unganishi Ayubu anaendelea kuzungumza kwa rafiki zake. # siku zao "muda wao wa kuishi" # Hushuka taratibu kwenda kuzimu KT: "hufa kwa amani" # njia zako inamaanisha jinsi Mungu anavotaka watu waenende. # Mwenyezi ni kitu gani, hata itupase kumwabudu? Ni faida gani tungepata kama tungemwomba? watu waovu hutumia maswali haya katika kumdhihaki Mungu. KT: Hatuamini kwamba huyu Mungu Mwenyezi anastahili tumwabudu. Hawezi kufanya chochote kwa ajili yetu"