sw_tn/job/21/04.md

16 lines
659 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Sentensi Unganishi.
Ayubu anaendelea kuzungumza kwa rafiki zake.
# Je mimi, malalamiko yangu ni dhidi ya mtu? Kwa nini nisiwe mvumilivu?
Ayubu anatumia maswali kusisitiza kuwa ni hali ya kawaida kwake kumlalamikia Mungu.KT: "Simlalamikii mtu . ninahaki ya kutokuwa na uvumilivu"
# weka mkono wako juu ya kinywa chako
"funika kinywa chako kwa mkono wako" Maneno haya yanaweza kumaanisha kwamba 1) huu ni mwitikio wa kuwa katika mshangao. KT: " funika kinywa chako kwa mkono wako" au 2) hiki ni kiashiria kuwa mtu hataongea . KT: "usiseme lolote"
# mashaka yameushika mwili wangu
" hofu inasababisha mwili wangu kutetemeka" au "ninatetemeka kwa hofu"