# Sentensi Unganishi. Ayubu anaendelea kuzungumza kwa rafiki zake. # Je mimi, malalamiko yangu ni dhidi ya mtu? Kwa nini nisiwe mvumilivu? Ayubu anatumia maswali kusisitiza kuwa ni hali ya kawaida kwake kumlalamikia Mungu.KT: "Simlalamikii mtu . ninahaki ya kutokuwa na uvumilivu" # weka mkono wako juu ya kinywa chako "funika kinywa chako kwa mkono wako" Maneno haya yanaweza kumaanisha kwamba 1) huu ni mwitikio wa kuwa katika mshangao. KT: " funika kinywa chako kwa mkono wako" au 2) hiki ni kiashiria kuwa mtu hataongea . KT: "usiseme lolote" # mashaka yameushika mwili wangu " hofu inasababisha mwili wangu kutetemeka" au "ninatetemeka kwa hofu"