sw_tn/job/19/03.md

28 lines
913 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Habari za Jumla:
Ayubu anaendelea kuzungumza kwa rafiki zake.
# Mara kumi hivi mmenishutumu mimi
Tungo "Mara kumi hivi" inamaanisha jinsi ambavyo rafiki zake wamemkemea kabisa Ayubu"Ninyi mmenidhihaki mimi" au" Ninyi mmenidhihaki mimi mara nyingi"
# ninyi hamuoni aibu kwamba mmenitendea mimi kwa ukatili.
Ayubu anawakemea wao hivi. "Ninyi mnapaswa kuona aibu kwamba mmenitendea mimi kwa ukatili"
# mmenitendea mimi kwa ukatili.
"mmenikejeli mimi"au "mmenidhihaki mimi hadharani"
# nimekosa,
"nimetenda dhambi kwa bahati mbaya" au" kwa kufanya makosa nimetenda dhambi"
# makosa yangu
"dhambi yangu" au" makosa yangu"
# makosa yangu hubaki kuwa wajibu wangu.
Ayubu anamaanisha kwamba rafiki zake hawapaswi kuendelea kumdhihaki yeye" makosa yangu ni juu yangu mimi mwenyewe, hivyo hampaswi kuendelea kunikemea mimi" au " makosa yangu hayakuwaumiza ninyi, hivyo hampaswi kuendelea kunikekemea mimi"