# Habari za Jumla: Ayubu anaendelea kuzungumza kwa rafiki zake. # Mara kumi hivi mmenishutumu mimi Tungo "Mara kumi hivi" inamaanisha jinsi ambavyo rafiki zake wamemkemea kabisa Ayubu"Ninyi mmenidhihaki mimi" au" Ninyi mmenidhihaki mimi mara nyingi" # ninyi hamuoni aibu kwamba mmenitendea mimi kwa ukatili. Ayubu anawakemea wao hivi. "Ninyi mnapaswa kuona aibu kwamba mmenitendea mimi kwa ukatili" # mmenitendea mimi kwa ukatili. "mmenikejeli mimi"au "mmenidhihaki mimi hadharani" # nimekosa, "nimetenda dhambi kwa bahati mbaya" au" kwa kufanya makosa nimetenda dhambi" # makosa yangu "dhambi yangu" au" makosa yangu" # makosa yangu hubaki kuwa wajibu wangu. Ayubu anamaanisha kwamba rafiki zake hawapaswi kuendelea kumdhihaki yeye" makosa yangu ni juu yangu mimi mwenyewe, hivyo hampaswi kuendelea kunikemea mimi" au " makosa yangu hayakuwaumiza ninyi, hivyo hampaswi kuendelea kunikekemea mimi"