sw_tn/job/18/01.md

20 lines
500 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Habari za Jumla:
Tazama uandishi wa ushairi na mifano
# Habari za Jumla:
Bildadi Mshunami anazungumza kwa Ayubu.
# Ndipo Bildadi Mshuhi alijibu na kusema
"Bildadi" ni jina la mtu ambaye ni mmoja wa watu wa kabila la Shua.
# Je, lini utaacha kusema kwako
Hili swali la kizushi lina maanisha kuwa Ayubu amekuwa akizungumza kwa muda mrefu. Swali hili la kejeli linaweza kuandikwa bila kutumia swali hivi: "Acha kuzungumza!"
# Fikiri,
"Kuwa mwenye kufikiri"au" tafakari juu ya vitu hivi"