# Habari za Jumla: Tazama uandishi wa ushairi na mifano # Habari za Jumla: Bildadi Mshunami anazungumza kwa Ayubu. # Ndipo Bildadi Mshuhi alijibu na kusema "Bildadi" ni jina la mtu ambaye ni mmoja wa watu wa kabila la Shua. # Je, lini utaacha kusema kwako Hili swali la kizushi lina maanisha kuwa Ayubu amekuwa akizungumza kwa muda mrefu. Swali hili la kejeli linaweza kuandikwa bila kutumia swali hivi: "Acha kuzungumza!" # Fikiri, "Kuwa mwenye kufikiri"au" tafakari juu ya vitu hivi"