sw_tn/job/15/25.md

12 lines
392 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# yeye ameunyosha mkono wake dhidi ya Mungu
"yeye ameitikisa mikono yake dhidi ya Mungu." Hii ni ishara ya kukasirika.
# hukimbia kwa Mungu
Sentensi hii inamhusu mtu mwovu anatenda kwa hila dhidi ya Mungu kama vile yeye alikuwa akikimbia kumkabili kumshambulia yeye" kumshambulia Mungu" au " kutenda kwa hila dhidi ya Mungu"
# kwa vifundo vikubwa vya ngao.
kwa ngao yake yenye nguvu"