# yeye ameunyosha mkono wake dhidi ya Mungu "yeye ameitikisa mikono yake dhidi ya Mungu." Hii ni ishara ya kukasirika. # hukimbia kwa Mungu Sentensi hii inamhusu mtu mwovu anatenda kwa hila dhidi ya Mungu kama vile yeye alikuwa akikimbia kumkabili kumshambulia yeye" kumshambulia Mungu" au " kutenda kwa hila dhidi ya Mungu" # kwa vifundo vikubwa vya ngao. kwa ngao yake yenye nguvu"