sw_tn/job/14/20.md

24 lines
643 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Habari za Jumla:
Ayubu anaendelea kuzungumza kwa Mungu.
# Ninyi daima humshinda yeye,
Neno " yeye" linamaanisha kila mtu" Ninyi daima mnamshinda mwanadamu" au " Ninyi daima mnawashinda watu"
# yeye hupita mbali;
Kupita mbali kunawakilisha kufa. " yeye hufa"
# Ninyi mnabadilisha uso wake
Maana zaweza kuwa hizi: Maumivu kabla ya kufa humfanya uso wake kuwa angavu, au wakati mtu anapokufa, Mungu huufanya uso wa mtu kuwa tofauti.
# kumtuma yeye mbali kufa
Sentensi hii inawakilisha kumsababishia yeye kufa.
# na kama wakishushwa chini,
Kushushwa chini ni kuaibishwa. " kama wao wameaibishwa" au " ikiwa watu wakiwaaibisha wao"