sw_tn/job/14/18.md

20 lines
542 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Habari za Jumla:
Habari za Jumla: Ayubu anaendelea kuzunguza kwa Mungu.
# milima huanguka na kuwa si chochote;
"Kuwa si chochote" ni nahau ikimaanisha kuharibiwa kabisa. Tungo hii inafafanua juu ya neno "anguka" na kusisitiza uharibifu. "milima imetupiliwa mbali"
# miamba huhamishwa kutoka mahali pake;
"miamba kuporomoka chini kutoka mahali pake"
# Kama hivi, ninyi mnavyoharibu matumaini ya mwanadamu.
"mnaharibu tumaini la mwanadamu kama vile..mavumbi ya ardhi"
# matumaini ya mwanadamu.
"vitu ambavyo mwanadamu anvitumainia"