# Habari za Jumla: Habari za Jumla: Ayubu anaendelea kuzunguza kwa Mungu. # milima huanguka na kuwa si chochote; "Kuwa si chochote" ni nahau ikimaanisha kuharibiwa kabisa. Tungo hii inafafanua juu ya neno "anguka" na kusisitiza uharibifu. "milima imetupiliwa mbali" # miamba huhamishwa kutoka mahali pake; "miamba kuporomoka chini kutoka mahali pake" # Kama hivi, ninyi mnavyoharibu matumaini ya mwanadamu. "mnaharibu tumaini la mwanadamu kama vile..mavumbi ya ardhi" # matumaini ya mwanadamu. "vitu ambavyo mwanadamu anvitumainia"