sw_tn/job/14/07.md

32 lines
898 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kunaweza kuwa na tumaini kwa mti ;
Kielezi cha jina " Matumaini" chaweza kuelezwa pamoja na kitenzi " Tumaini." Tumaini limeelezwa katika mistari 7-9. "Sisi tunaweza kutumaini kuwa mti utaishi tena"
# unaweza kuchipua tena
"Unaweza kuanza tena kukua"
# hivyo chipukizi lake halitapotea.
Kupotelea mbali kunawakilisha kufa. "ili ya kwamba chipukizi lake halitakufa"
# Japokuwa
"Ingawa" au "Hata kama"
# shina
sehemu ya mti ambayo hubakia imetokeza nje kutoka ardhini baada ya mti kukatwa sehemu zingine za mti.
# hata kama bado lina harufu ya maji
Sentensi hii yaweza kutafsiriwa hivi: shina linalokufa kama ikiwa linaharufu ya maji inawakilisha maji yako karibu nalo." hata kama maji kidogo yako karibu nalo"
# litachipua tena
"litaanza kukua"
# na kutoa nje matawi kama mche.
mtu kutoa majani inawakilisha matawi kukua katika mti. "na matawi yataanza kukua juu yake kama mche"