# Kunaweza kuwa na tumaini kwa mti ; Kielezi cha jina " Matumaini" chaweza kuelezwa pamoja na kitenzi " Tumaini." Tumaini limeelezwa katika mistari 7-9. "Sisi tunaweza kutumaini kuwa mti utaishi tena" # unaweza kuchipua tena "Unaweza kuanza tena kukua" # hivyo chipukizi lake halitapotea. Kupotelea mbali kunawakilisha kufa. "ili ya kwamba chipukizi lake halitakufa" # Japokuwa "Ingawa" au "Hata kama" # shina sehemu ya mti ambayo hubakia imetokeza nje kutoka ardhini baada ya mti kukatwa sehemu zingine za mti. # hata kama bado lina harufu ya maji Sentensi hii yaweza kutafsiriwa hivi: shina linalokufa kama ikiwa linaharufu ya maji inawakilisha maji yako karibu nalo." hata kama maji kidogo yako karibu nalo" # litachipua tena "litaanza kukua" # na kutoa nje matawi kama mche. mtu kutoa majani inawakilisha matawi kukua katika mti. "na matawi yataanza kukua juu yake kama mche"