sw_tn/job/14/01.md

36 lines
1.3 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Habari za Jumla:
Sura hii ni mwendelezo wa hotuba ya Ayubu, iliyoanza 12:1. Ayubu anazungumza kwa Mungu.
# Mwanadamu, ambaye amezaliwa na mwanamke,
Sentensi hii ina maanisha watu wote,wanaume na wanawake wote wamezaliwa katika ulimwengu huu.
# huishi siku chache tu
hapa imetumika lugha ya kukuza jambo ili kutoa msisitizo kwamba watu huishi muda mfupi tu. " hushi muda mfupi sana"
# amejaa mahangaiko.
Kujaaa "mahangaiko" inaonyesha kupata mateso mengi. "yeye ana mahangaiko mengi" au " anateseka sana"
# Yeye huchanua kutoka katika ardhi kama ua na kukatwa chini;
Kama maisha ya ua, maisha ya mtu ni mafupi na ni rahisi kuuawa.
# yeye hukimbia kama kivuli na hawezi kudumu.
Maisha mafupi ya mwanadamu yamelinganishwa na kivuli ambacho hutoweka haraka.
# Je, wewe unatazama chochote katika hivi?
Ayubu ana maanisha kuwa yeye hahitaji Mungu amsikilize sana." Wewe hautazami chochote haya" au " Wewe haunisikilizi sana mimi "
# tazama katika hivi
Kumtazama mtu kunawakilisha kuwa makini kumsikiliza ili kumhukumu yeye. "Kuwa tayari kusikiliza" au " tazama makosa ndani yake"
# Mnanileta mimi hukumuni pamoja nanyi?
Ayubu anatumia swali hili kuonyesha kushangaa kwake kuwa Mungu anamhukumu yeye ingawa Ayubu si wa thamani kama ua."Lakini wewe wanihukumu mimi"