sw_tn/job/13/13.md

16 lines
797 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Shikilieni amani yenu
Hii ni nahau ionayomaanisha "Nyamaza" au Acha kuzungumza"
# mniache peke yangu,
Hii ni nahau yenye maana ya "acheni kunivunja moyo mimi au " acheni kunizuia mimi"
# acheni yaje yale yanayoweza kuja kwang
Vitu vinakuja juu ya mtu inawakilisha vitu vinavyotokea kwa mtu. Ni kuonyesha kinachoanza na "Acha" maana yake yeye hajali kile kinachoweza kutokea kwake. " Acheni chochote kinachoweza kutokea kwangu kitokee" au " Sijali kile ambacho kinaweza kutokea kwangu"
# Nitaichukua nyama yangu mwenywewe katika meno yangu;
"Nyama" kuwakilisha maisha. "Meno" na "mikono" ni kiwakilishi cha udhibiti wake. Tungo hizi mbili pamoja zinasisitia kuwa Ayubu yuko tayari kuhatarisha maisha yake kwa kutetea hoja yake pamoja na Mungu. " Niko tayari kuyahatarisha maisha yangu"