# Shikilieni amani yenu Hii ni nahau ionayomaanisha "Nyamaza" au Acha kuzungumza" # mniache peke yangu, Hii ni nahau yenye maana ya "acheni kunivunja moyo mimi au " acheni kunizuia mimi" # acheni yaje yale yanayoweza kuja kwang Vitu vinakuja juu ya mtu inawakilisha vitu vinavyotokea kwa mtu. Ni kuonyesha kinachoanza na "Acha" maana yake yeye hajali kile kinachoweza kutokea kwake. " Acheni chochote kinachoweza kutokea kwangu kitokee" au " Sijali kile ambacho kinaweza kutokea kwangu" # Nitaichukua nyama yangu mwenywewe katika meno yangu; "Nyama" kuwakilisha maisha. "Meno" na "mikono" ni kiwakilishi cha udhibiti wake. Tungo hizi mbili pamoja zinasisitia kuwa Ayubu yuko tayari kuhatarisha maisha yake kwa kutetea hoja yake pamoja na Mungu. " Niko tayari kuyahatarisha maisha yangu"