sw_tn/job/12/04.md

28 lines
1.3 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Mimi ni kitu cha kuchekwa na jirani-Mimi, ni mmoja aliyemwita Mungu na ambaye alijibiwa na yeye!
Uhusiano baina ya tungo hizi unaweza kufafanuliwa na maneno " japokuwa" "Mimi ni kitu cha kuchekwa na jirani zangu-ingawa ni mmoja aliye mwita Mungu na yeye alinijibu mimi"
# Mimi, ni mwenye haki na mtu asiyekuwa na hatia-Mimi sasa nimekuwa kitu cha kuchekwa.
Uhusiano kati ya tungo hizi "japokuwa" "Japokuwa mimi ni mwenye haki na mtu asiyelaumika, sasa watu ananicheka"
# Katika mawazo yake mtu fulani aliye katika kufurahi, kuna kudharau kwa mashaka;
Maneno " mawazo", "rahisi" "dhihaka" "bahati mbaya"yaweza kuelezwa pamoja na tungo zingine. "Mtu anayeishi katika maisha rahisi humchukia mtu anayeteseka"
# huleta mambo mabaya zaidi kwa wale ambao miguu yao inateleza.
Kuleta mambo mabaya ina maanisha kuyasababisha kutokea. "kusababisha vitu vibaya zaidi kutokea"
# ambao miguu yao inateleza
Mguu kuteleza inamaanisha kuwa katika hatari au mahangaiko"
# Hema za wezi hufanikiwa,
Kufanikiwa kwa hema zao kunawakilisha wezi kufanikiwa katika hema zao. "Wevi huishi katika kufanikiwa ndani ya hema zao wenyewe"
# mikono yao wenyewe ni miungu wao.
"Mikono yao wenyewe" kiwakilishi cha "nguvu na " na "miungu yao" ni tashbiha kuelezea kiburi chao. "wao wanajivuna sana kwa uwezo wao wenyewe"