# Mimi ni kitu cha kuchekwa na jirani-Mimi, ni mmoja aliyemwita Mungu na ambaye alijibiwa na yeye! Uhusiano baina ya tungo hizi unaweza kufafanuliwa na maneno " japokuwa" "Mimi ni kitu cha kuchekwa na jirani zangu-ingawa ni mmoja aliye mwita Mungu na yeye alinijibu mimi" # Mimi, ni mwenye haki na mtu asiyekuwa na hatia-Mimi sasa nimekuwa kitu cha kuchekwa. Uhusiano kati ya tungo hizi "japokuwa" "Japokuwa mimi ni mwenye haki na mtu asiyelaumika, sasa watu ananicheka" # Katika mawazo yake mtu fulani aliye katika kufurahi, kuna kudharau kwa mashaka; Maneno " mawazo", "rahisi" "dhihaka" "bahati mbaya"yaweza kuelezwa pamoja na tungo zingine. "Mtu anayeishi katika maisha rahisi humchukia mtu anayeteseka" # huleta mambo mabaya zaidi kwa wale ambao miguu yao inateleza. Kuleta mambo mabaya ina maanisha kuyasababisha kutokea. "kusababisha vitu vibaya zaidi kutokea" # ambao miguu yao inateleza Mguu kuteleza inamaanisha kuwa katika hatari au mahangaiko" # Hema za wezi hufanikiwa, Kufanikiwa kwa hema zao kunawakilisha wezi kufanikiwa katika hema zao. "Wevi huishi katika kufanikiwa ndani ya hema zao wenyewe" # mikono yao wenyewe ni miungu wao. "Mikono yao wenyewe" kiwakilishi cha "nguvu na " na "miungu yao" ni tashbiha kuelezea kiburi chao. "wao wanajivuna sana kwa uwezo wao wenyewe"