sw_tn/job/09/16.md

24 lines
712 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kwa kuwa yeye anidhoofishaye kwa dhoruba
Ayubu analinganisha mateso yake kutoka Kwa Mungu na athari za dhoruba. "Yeye hunijeruhi mimi kana kwamba kwa dhoruba."
# dhoruba
lenye nguvu sana au tufani lenye nguvu sana
# zidisha majeraha yangu
"hunipatia mimi majeraha mengi" au "hunijeruhi mimi tena na tena"
# pasipo sababu
Hata kama sijaweza kumpa sababu ya kufanya hivyo" au "hata kama sina kosa"
# kamata pumzi yangu
Hii ni lugha ambayo humaanisha "pumua" au "vuta pumzi"
# yeye hunijaza uchungu
Mstari huu ni mfano wa Mungu kuyajaza maisha ya Ayubu na mambo ambayo humpa yeye uchungu. Jina la kufikirika "uchungu" linaweza kuelezewa kama kivumishi "-chungu." "yeye hunijaza mimi na mambo machungu"