# kwa kuwa yeye anidhoofishaye kwa dhoruba Ayubu analinganisha mateso yake kutoka Kwa Mungu na athari za dhoruba. "Yeye hunijeruhi mimi kana kwamba kwa dhoruba." # dhoruba lenye nguvu sana au tufani lenye nguvu sana # zidisha majeraha yangu "hunipatia mimi majeraha mengi" au "hunijeruhi mimi tena na tena" # pasipo sababu Hata kama sijaweza kumpa sababu ya kufanya hivyo" au "hata kama sina kosa" # kamata pumzi yangu Hii ni lugha ambayo humaanisha "pumua" au "vuta pumzi" # yeye hunijaza uchungu Mstari huu ni mfano wa Mungu kuyajaza maisha ya Ayubu na mambo ambayo humpa yeye uchungu. Jina la kufikirika "uchungu" linaweza kuelezewa kama kivumishi "-chungu." "yeye hunijaza mimi na mambo machungu"