sw_tn/job/06/07.md

24 lines
788 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Habari ya Jumla:
Mwandishi anaendelea kutumia ulinganishaji katika kila mistari hii, kuwasilisha wazo moja akitumia maelezo mawili tofauti kusisitiza mateso yake makali sana na haja yake ya kufa.
# Nakataa kuvigusa
"Wao" inahusu chakula chenye ladha mbaya. Hapa Ayubu anaendelea kutumia sura ya chakula kibaya kama sitiari kwa hali ya mambo yasiyokubalika.
# Oo, kama nigeweza kupata haja yangu; oo, kama Mungu angeridhia jambo nilitamanilo sana
"Oo kwamba Mungu angefanya kile ambacho nimemwomba yeye kufanya"
# kama Mungu ingempendeza kuniangamiza mara moja
"Kwamba Mungu angelisonga mbele na kuniangamiza mimi"
# kwamba angeulegeza mkono wake na kuyakatilia mbali maisha yangu
"kwamba angelitenda haraka na kufupisha maisha yangu"
# angeulegeza mkono wake
"tenda haraka"