# Habari ya Jumla: Mwandishi anaendelea kutumia ulinganishaji katika kila mistari hii, kuwasilisha wazo moja akitumia maelezo mawili tofauti kusisitiza mateso yake makali sana na haja yake ya kufa. # Nakataa kuvigusa "Wao" inahusu chakula chenye ladha mbaya. Hapa Ayubu anaendelea kutumia sura ya chakula kibaya kama sitiari kwa hali ya mambo yasiyokubalika. # Oo, kama nigeweza kupata haja yangu; oo, kama Mungu angeridhia jambo nilitamanilo sana "Oo kwamba Mungu angefanya kile ambacho nimemwomba yeye kufanya" # kama Mungu ingempendeza kuniangamiza mara moja "Kwamba Mungu angelisonga mbele na kuniangamiza mimi" # kwamba angeulegeza mkono wake na kuyakatilia mbali maisha yangu "kwamba angelitenda haraka na kufupisha maisha yangu" # angeulegeza mkono wake "tenda haraka"