sw_tn/job/05/08.md

20 lines
767 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Habari za Jumla:
Katika mistari hii, Elifazi anaendeleza hotuba toka 4: 1. Mwandishi anaenedelea kutumia ulinganishaji katika kila mstari, kuwasilisha wazo moja akitumia maelezo mawili tofauti kusisitiza kwamba Ayubu lazima akiri hali yake kwa Mungu ambaye hutenda mambo ya kustajabisha.
# makuu na mambo yasiyochunguzika, mambo ya ajabu yasiyo na hesabu
"Mambo makuu ambayo hayawezi fahamika, maajabu ambayo hayahesabiki"
# mambo yasiyochunguzika
Hii inamaanisha mambo ambayo wanadamu hawezi kuyaelewa.
# makuu na mambo yasiyochunguzika
Hapa mwandishi anatumia maneno mawili yanayojitegemea na kuunganishwa kwa "na" kusisitiza ukuu wa matendo ya Mungu. "mambo makuu sana yenye kuhitaji maarifa mengi"
# mambo ya ajabu
"mambo ya kustajabisha" au "maajabu"